Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzia juu ya namna Maendeleo ya Taifa yanavyoletwa kwa ushirikiano wa vyama vyote akiwa katika Ziara Mkoani Mtwara.