Alikiba & Victoria Kimani wanakutana na @iamunknownDJ - coke studio africa
2015-11-25 9 Dailymotion
Alikiba na Victoria Kimani wanakutana na aliyekua nyuma ya pazia Coke Studio Africa jumamosi hii huku Sauti Sol na Ice Prince wakiliwasha stejini. Ungana nasi kwa ajili ya mash up kubwa kuliko zote Africa.