Usiku wa December 26 2016 Mchekeshaji Mc Pilipili alimtambulisha Dodoma mbele ya familia yake mpenzi wake wa sasa ambaye ni mwigizaji wa bongo .<br>Ni bonge la show hii sio ya kukusa maana kutakua na wasanii wengi sanaa.<br>MC Pilipili alikuwa ni mmoja kati ya washereheshaji katika show ya 333Experience iliyoandaliwa na mastaa wa bongo fleva Ben Pol, Jux na Barakah Da Prince .<br>MC PILI PILI ALIVYOWACHEKESHA WATU KWENYE SHOW YA FUNGA MWAKA ESCAPE ONE.<br>Harusi ilikuwa kubwa sana MC pilipili aifanya harusi kuwa kubwa zaidi.