Mahitaji:\r
\r
Unga wa ngano mweupe vikombe 4\r
Unga wa brown/ whole wheat 2\r
Chumvi kijiko kikubwa 1\r
Samli/mafuta ya kukandia imoto vjiko vikubwa 4-5\r
Maji vikombe 2 ( unawaza kupunguza au kuzidisha vijiko 2 vikubwa)\r
\r
Samli/mafuta nusu kikombe ya kusokota na kuchomea