Tukio hilo limefanyika katika ukumbi wa Afrika House Lounge uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.<br /><br />Katika hafla hiyo ‘Gigy Maoney’ alionekana akimpongeza msanii wa Bongo Muvi, Jaqueline Wolper, akisema kuwa nguvu zake zimewezesha hafla kufanyika kwani hata vazi alilokuwa amelivaa alivalishwa na yeye.