Surprise Me!

''Rais wafukuze kazi Makonda, Sirro, Nchemba'' BAVICHA

2018-03-08 1 Dailymotion

Baraza la Vijana Chadema Taifa ( BAVICHA) linamtaka na kumshauri Rais Magufuli kuwafukuza kazi mara moja Mwenyekiti wa baraza la usalama Jijini Dar es salaam, IGP Sirro na Waziri Mwigulu Nchema kutokana na kutochukua hatua kwa matukio yanayoendelea hapa nchini.

Buy Now on CodeCanyon