"Namuamini Dogo Janja kwa 80% sio 100%" Irene Uwoya ,Interview ya kwanza baada ya Ndoa
2018-03-17 4 Dailymotion
Baada ya kukwepakwepa Interview nyingi za Media TZ baada ya Ndoa yake na Dogo Janja Irene Uwoya apiga Interview na team LeoTena ya Clouds Fm