OKWI KWENDA AL MASRY, SIMBA WAWATOLEA NJE WAARABU
2018-03-25 11 Dailymotion
Mara baada ya kuonyesha kiwango cha juu katika michuano ya kimataifa, kukaibuka taarifa kuwa mshambuliaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi anaweza kusajiliwa na timu za Uarabuni.