Alichosema Nondo Mara baada ya kupata Dhamana Leo
2018-03-27 18 Dailymotion
Mwanafunzi aliyedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana leo amepewa dhamana na Mahakama mkoani Iringa ambako kesi yake inasikilizwa. <br /><br />Hii hapa kauli yake akifunguka mara baada a kupewa dhamani hiyo.