Surprise Me!

SUMAYE ,BALOZI WATUHUMIWA NA UTAPELI DAR

2018-03-28 4 Dailymotion

Annie Kwayu mkazi wa Msasani jijini Dar es Salaam amemuomba Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda na Rais John Magufuli kuingilia kati shinikizo la kutaka kutapeliwa nyumba yake na Ally Sumaye ambaye ni Ndugu wa Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye.

Buy Now on CodeCanyon