TUZO ZA SZIFF 2018: Diamond Platnumz na Mobeto mambo niiiiii.....
2018-04-02 7 Dailymotion
Diamnond Platnumz usiku wa tuzo za SINEMA ZETU INTERNATIONAL FILM FESTIVAL alidhihira kile kinachoulizwwa na wengi mitandaoni. Mtazame akiweka mambo hadharani.