Jana ilikua ni siku ya Harusi ya msanii wa Bongo fleva Ali salehe kiba almaharufu kama alikiba na msanii Huyo aliweza kufunguka sababu zilizomfanya akaowa nchini kenya na kuwaacha baadhi ya ma ex girlfriend zake ambao alikuwa anategemewa kuwaoa.