Sight More ni rapper kutoka Arusha aliye fanya style nyingi sana za kurap kwenye dakika 10 za maangamizi ndani ya Planet Bongo.<br /><br />Planet Bongo kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 7:00 mchana hapa East Africa Rario kupitia 88.1 fm.