Timu ya Yanga ikiwa inadhamiria kukiimarisha kikosi chake wanatajwa kuwarejesha katika kikosi chao wachezaji kadhaa kutoka katika timu ya Mtibwa sugar