Dawa hii ni nzuri sana kwa wanawake wote wenye tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa au wale wasiosikia kabisa raha yoyote wakati wa tendo lile la Umoja. <br />Vitu vya msingi ni Majani ya Mbaazi na Mafuta ya Mzeituni. <br />Fuata vizuri hatua hizi chache na rahisi kabisa kwa uwezo wa Mungu Tatizo lako litakwisha kabisa.