Surprise Me!

Hali ya Mavoko, Tiny White Msibani kwa Dada Yao Leo

2018-05-31 12 Dailymotion

Hali ya Mavoko, Tiny White Msibani kwa Dada Yao Leo

Msanii wa vichekesho nchini, Tiny White, amefiwa na dada yake anayefahamika kwa jina la Beatrice Lusinga, aliyefariki baada ya kuugua ugonjwa wa Malaria.

Akiwa msibani hapo Tiny White ambaye ni ndugu wa kuzaliwa na mwanamuziki Rich Mavocko, amesema watu wengi hawajui kama yeye na Mavoko ni ndugu wa damu yaani mdogo wake kwa sababu wao hawana tabia ya kuzungumziana kwenye vyombo vya habari.

lnstal GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ...

TWITTER: Visit , Subscribe

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..

Buy Now on CodeCanyon