Usiku wa kuamkia leo June 07, 2018 tasnia ya burudani Bongo imegubikwa na wigu zito kufuatia kifo cha msanii Sam Wa Ukweli.