Surprise Me!

"Bora Wali Nyama kuliko Walimwengu" (Wimbo wa Mwisho wa Sam Wa Ukweli)

2018-06-08 23 Dailymotion

Huu ni wimbo wa Mwisho wa Sam wa Ukweli aliokuwa akiuandaa siku chache kabla ya Umauti kumfika. Aliandika wimbo huu kutokana na hali ya kutatanisha ya Ugonjwa uliokuwa unamsumbua. <br />Uongozi wa TOPTEN TV unatoa pole kwa wafiwa wote, Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu.

Buy Now on CodeCanyon