Jicho moja la Meddie Kagere 'gumzo' kila kona mitandaoni
2018-08-31 5 Dailymotion
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba SC, Meddie Kagere amekuja na ushangiliaji ambao tayari umekuwa gumzo miongoni mwa mashabiki wa kandanda hapa nchini na kwingineko.<br />Je, ushangiliaji huu unaashiria nini?