Mwanamume mmoja anazuiliwa katika kituo cha polisi cha shisasari kaunti ya Kakamega baada ya kumuua mwenzake kufuatia mzozo wa shamba.<br /><br />Inadaiwa kesi kuhusu utata wa ardhi hiyo ingali mahakamani na ilitazamiwa kusikizwa tarehe shirini na tano mwezi huu,