Surprise Me!

Goli la pili la Yanga kutoka kwa Ibrahim Ajib; YANGA VS STAND UNITED (TPL - 16/09/2018)

2018-09-17 2 Dailymotion

Ni dakika ya 35, Ibrahim Ajib baada ya kupokea pasi kutoka kwa Papy Tshishimbi, akaachia fataki nje ya 18 na kuiandikia Yanga bao la pili.<br />Ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam.

Buy Now on CodeCanyon