Surprise Me!

SIMBA VS YANGA: Nafasi 7 'za maana' ambazo Simba ilishindwa kuzitumia

2018-10-01 55 Dailymotion

Pamoja na kwamba mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Simba Vs Yanga uliopigwa Septemba 30, 2018, ulimalizika kwa suluhu, vijana wa Msimbazi walipata nafasi 7 za kipekee ambazo huenda zingezaa bao ama mabao.

Buy Now on CodeCanyon