Mzamiaji, afunguka walivyomuokoa Fundi Mkuu akiwa hai 'alipewa chai majini'
2018-10-01 3 Dailymotion
Juma Bagenzi ni mmoja wa Wazamiaji kutoka Jeshi la Wananchi ambayo walishiriki zoezi la ukoaji wa Kivuko cha Mv. Nyerere na mizigo ambalo limekamilika 29, ambapo Serikali imetangaza kuhitimisha rasmi hilo.