Mtangazaji Casto amepata kigugumizi ishu ya kubwagana na mpenzi wake Tunda hiyo ni baada ya kuwepo kwa taarifa za wawili kuachana.