Baada ya Kutekwa MO, Zilichomekwa Taarifa Kuwa alitekwa Na Raia wa Kigeni, Tena wakaenda Mbali na Wakasema watekaji Walikuwa Wazungu. Mimi Nahisi Lengo la Kusema Hivyo Bila Kuthibitisha Ni Hila. Kuwafanya Wananchi wasiwaze Sampuli za Watekaji Ni kama Wale waliomtisha Nape kwa Bastola au Waliotaka Kumteka Zakaria. Niko Tayari Kushuka, Nikionyeshwa Ushahidi. Vingenevyo Dhana yangu itabaki Kuwa ni WALE WALE WATU WASIOJULIKANA (PSU)
