Elimu na Walimu Ep. 1 Promo: Vyeti Butu (Juni 15 Saa Nane Mchana)
2019-05-28 5 Dailymotion
Kila kukicha sekta ya elimu hukubwa na changamoto si haba, migomo ya walimu na wanafunzi, uhasamu baina ya wadau pamoja na mizozo aina ainati. Ungana na Andrine Kilemi akiangazia masuala ya elimu.