Surprise Me!

Wahudumu Wa Afya Wasema Hawajahamasishwa Kuhusu Chanjo

2021-03-18 4 Dailymotion

Wahudumu Wa Afya Wameshilia Kuwa Hawajapata Mafunzo Ya Kutosha Kuhusiana Na Chanjo Ya Corona.Viongozi Wa Wahudumu Wa Afya Kutoka Miungano Tofauti Tofauti Ikiwemo Muungano Wa Matabibu Nchini,Wameshikilia Kuwa Wizara Ya Afya Haijawahusisha Na Hamasisho Kuhusu Athari Za Chanjo Hiyo Ya Astrazeneca Jambo Lilopelekea Wengi Wao Kususia Kuchukua Chanjo Ya Corona.<br />

Buy Now on CodeCanyon