Maelfu Ya Watanzania Wajitokeza Kumuaga Rais Magufuli
2021-03-20 25 Dailymotion
Maelfu Ya Watanzania Wamejitokeza Kutoa Heshima Zao Za Mwisho Kwa Rais Mwendazake John Pombe Magufuli. Kwa Heshima Na Taadhima Kuu Jeshi La Taifa Hilo Liliongoza Ratiba Hiyo Ya Kutoa Buriani Kwa Amri Jeshi Mkuu Wao Atakayezikwa Ijumaa Ijayo<br />