Surprise Me!

Waendeshaji Magari Naivasha Wahamasisha Umma Dhidi Ya Corona

2021-03-20 5 Dailymotion

Waendeshaji Magari Wamepiga Hatua Za Kuhamasisha Umma Dhidi Ya Janga La Virusi Vya Corona Katika Kaunti Ya Nakuru.Hamasisho Hilo Pia Likihusisha Masharti Mapya Yatakayoona Gari Moja Tu Kutoka Kwa Kila Sacco Likiegeshwa Katika Kituo Cha Kuegesha Magari Mjini Naivasha Kudhibiti Msongamano Wa Wakaazi Wanapoabiri Magari.<br />

Buy Now on CodeCanyon