Spika Wa Seneti Keneth Lusaka Ameshikilia Kuwa Maseneta Watapata Fursa Ya Kupiga Kura Kuhusiana Na Mswada Wa Bbi Wiki Ijayo. Lusaka Ameshikilia Kuwa Uamuzi Huo Umeafikiwa Baada Ya Maseneta Kutaka Fursa Ya Kujadili Mswada Huo. Tayari Nipe Nikupe Umeshuhudiwa Kati Ya Wajumbe Huku Wengine Wakidai Kuwa Kuna Miswada Miwili Mbele Ya Seneti Na Bunge La Kitaifa.
