Waislamu Nchini Wanajiandaa Kuadhimisha Sherehe Za Idd Ul Fitr, Kuashiria Mwisho Wa Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani. Sherehe Hizi Hufanyika Baada Ya Kukamilika Kwa Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan Ambapo Waislamu Hufunga Kwa Muda Wa Mwezi Mmoja. Hata Hivyo Waislamu Wengi Tuliozungumza Nao Jijini Nairobi Na Mombasa, Wanalalamikia Kupanda Kwa Gharama Ya Maisha Na Bei Za Bidhaa.<br />
