Surprise Me!

Waislamu Nchini Wamekamilisha Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan

2021-05-13 8 Dailymotion

Maelfu Ya Waislamu Nchini Wamekamilisha Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan Huku Wakijumuika Katika Sehemu Na Misikiti Mbalimbali Kwa Swala Ya Eid Ul Fitr. Hii Ni Licha Ya Kadhi Mkuu Kutangaza Kuwa Sherehe Hizo Zinapaswa Kufanyika Kesho Akisema Kuwa Mwezi Bado Haujaonekana.

Buy Now on CodeCanyon