Surprise Me!

Mipango Ya Uzinduzi Wa Bandari Ya Lamu Alhamisi Yakamilika

2021-05-18 3 Dailymotion

Bandari Ya Lamu Itapokea Meli Ya Kwanza Ya Kubebea Mizigo Kesho Kutwa Alhamisi Wakati Ambapo Shughuli Za Bandari Hiyo Zitaanza Rasmi. Uzinduzi Wa Mradi Huo Unatarajiwa Kuongozwa Na Rais Uhuru Kenyatta. Mradi Huu Unatarajiwa Kuleta Ajira Kwa Wakazi Wa Kaunti Ya Lamu Ambao Hutegemea Utalii Na Uvuvi Pakubwa. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.<br />

Buy Now on CodeCanyon