Huku Taifa Likijitayarisha Kwa Wimbi La Nne La Maambukizi Ya Corona Mwezi Huu, Utengenezwaji Na Usambazaji Wa Oksijeni Ni Muhimu Zaidi. Akizindua Kiwanda Cha Kutengeneza Oxigeni Katika Hospitali Moja Humu Mjini, Waziri Wa Viwanda Na Maendeleo Betty Maina Amesema Mikakati Imewekwa Ili Kuhakikisha Kenya Inatengeneza Vifaa Muhimu Vya Kutoa Huduma Za Afya Haswa Vya Kutengeneza Oxigeni Ili Hospitali Zote Ziwe Na Oxigeni Ya Kutosha
