Chama Cha Wiper Kimejiunga Na Kile Cha Anc Kugura Muungano Wa Nasa Kufuatia Mzozo Wa Mda Baina Ya Vinara. Viongozi Hao Kalonzo Musyoka Na Moses Wetangula Waliogura Nasa Wamemtaja Odinga Kama Msaliti Hasa Baada Ya Kudinda Kuwaunga Mkono Katika Nafasi Ya Urais Mwaka 2022.
