Wakazi Wa Mtwapa Wahimizwa Wapande Pamba Na Korosho
2021-08-08 5 Dailymotion
Chama Cha UGM Kimezindua Mradi Wa Kupanda Miti Na Korosho Katika Kaunti Ya Kilifi, Mji Wa Mtwapa Kwa Lengo La Kuwawezesha Wakulima Kuongeza Mapato Yao Na Kuongeza Upanzi Wa Miti.