Watu 8 Wametiwa Mbaroni Kutokana Na Vurumai Iliyotokea Katika Kaunti Ya Busia Wakati Naibu Wa Rais William Ruto Akipiga Kampeni Sehemu Hizo.