Walioachwa Bila Makao 2007/2008 Wadai Uchaguzi Mkuu Uahirishwe
2021-11-14 4 Dailymotion
Walioathirika Na Migogoro Ya Uchaguzi Wa Miaka Ya 2007/2008 Na Kuachwa Bila Makao Wanaitaka Serikali Iahirishe Uchaguzi Wa Mwaka Ujao Hadi Watakapo Pewa Makao Mapya.