Surprise Me!

Chama Cha ANC Chavuna Wanachama 23 Kutoka Homabay

2021-12-11 4 Dailymotion

Chama Cha ANC Hii Leo Kimepokea Wagombeaji 23 Kutoka Kaunti Ya Homa Bay Ambao Wamekigura Chama Cha Chungwa, Odm, Na Kujiunga Na Chama Cha Amani Chake Musalia Mudavadi.<br />Akizungumza Wakati Wa Kuwapokea Wagombeaji Hao Ambao Wanamezea Mate Viti Mbali Mbali Katika Kaunti Ya Homa Bay, Katibu Mkuu Wa Chama Cha ANC Simon Kamau Akiwa Katika Makao Makuu Ya Chama Amewataka Wanachama Hao Wapya Kuwa Mabalozi Wa Heri Njema Na Ujumbe Wa Safari Ya Ikulu Yake Musalia Mudavadi Katika Kaunti Ya Homa Bay.

Buy Now on CodeCanyon