Surprise Me!

Ruto Amehudhuria Hafla Ya Kitamaduni Kaunti Ya Turkana

2021-12-11 9 Dailymotion

Naibu Rais Wiliam Ruto Kwa Siku Yapili Ameendeleza Mikutano Na Wakaazi Wa Turkana Ambako Amekutana Na Wazee Pamoja Viongozi Kutoka Kaunti Hiyo. Ruto Amewaomba Wakaazi Wa Turkana Kuunga Mkono Azma Yake Ya Kuwania Kiti Cha Urais Mwaka Ujao. Ruto Ameahidi Wakaazi Wa Turkana Kuwa Atatua Mizozo Baina Yao Haswa Ya Uwizi Wa Mifugo.

Buy Now on CodeCanyon