Wakaazi Wa Kerio Valley Walikongamana Kuombea Familia Za Wale Ambao Wamepoteza Wapendwa Wao Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Utovu Wa Usalama<br />Wakaazi Hao Wamesema Kuwa Maombi Ndio Suluhu Mwafaka. Vile Vile Wamevitaka Vitengo Vya Usalama Kukita Kambi Eneo Hilo Na Kuwakamata Wale Ambao Wanahusika Na Mashambulizi.
