Misongamano Mikubwa Ya Abiria Imeshuhudiwa Katika Steni Mbali Mbali Za Magari Ya Usafiri Wa Umma Kutoka Mashinani Kuelekea Nairobi Huku Wengi Wakijiandaa Kwa Ufunguzi Wa Shule Kuanzia Jumanne. <br />Wengi Ya Wasafiri Wamelalamikia Kuongezwa Kwa Nauli Hali Ambayo Imewalazimu Kugharimika Zaidi. Katika Kituo Cha Usafiri Cha Northrift Mjini Eldoret, Wasafiri Wengi Wamelalamikia Muda Mwingi Wanaopoteza Wakisubiri Kupata Usafiri.
