Viongozi West Pokot Waongoza Maandamano Dhidi Ya Ukosefu Wa Usalama
2022-01-03 29 Dailymotion
Mvutano Baina Ya Viongozi Wa West Pokot Na Wale Wa Elgeyo Marakwet Unasemekana Kuchangia Pakubwa Ongezeko La Visa Vya Utovu Wa Usalama Katika Eneo Hilo. Mojawapo Ya Visa Hivyo Vimepelekea Vifo Vta Watu Wanne Katika Eneo La Chesegon Juma Lililopita.