Polisi Adaiwa Kujiua Mombasa
2022-01-10 45 Dailymotion
Afisa Mmoja Wa Polisi Hivi Leo Alipatikana Amefariki Baada Ya Kujitia Kitanzi Nyumbani Mwake.Afisa Huyu Anayejulikana Kama Jacob Masha Alijiua Kwa Kujipiga Risasi. Kilichosabababisha Afisa Huyo Kujitia Kitanzi Bado Hakijabainika.