Mikakati Ya Chemichemi Ya Yala: Gavana James Orengo Awataka Viongozi Kujadili Mwafaka
2022-11-29 1 Dailymotion
Gavana Wa Siaya James Orengo Amewataka Viongozi Walioteuliwa Kujadili Njia Mwafaka Ya Kulinda Chemichemi Ya Yala Baada Ya Kubainika Kuwa Tume Ya Ardhi Nchini Inataka Kutoa Hekari 6,000 Kwa Mwekezaji Wa Kibinafasi.