Wanafunzi Kaunti Ya Nakuru Wamenufaika Na Ufadhili Wa Vifaa Vya Shule Vilivyowasilishwa Na Mwakilishi Wadi Wa Nakuru. Wazazi Wamesema Uwepo Wa Ukame Umewapelekea Wazazi Wengi Kukosa Pesa Za Kufadhili Elimu.