Surprise Me!

Raila Asutwa Na Mbunge Wa Nandi

2023-02-06 0 Dailymotion

Mbunge Wa Nandi Hills Benard Kitur Amejitokeza Kumuomba Kiongozi Wa Azimio Raila Odinga Kuacha Siasa Na Kusitisha Maandamano Yake Baada Ya Odinga Kutangaza Mipango Ya Kufanya Mikutano Mingine Katika Maeneo Ya Mavoko Na Magharibi Mwa Kenya.

Buy Now on CodeCanyon