Surprise Me!

Ukame Umeathiri Kaunti 23 Humu Nchini

2023-02-09 6 Dailymotion

Ripoti Za Hivi Punde Zinaonyesha Kuwa Ukame Unaendelea Kuathiri Kaunti Kame Humu Nchini. Kaunti 21 Kati Ya 23 Zilizo Maeneo Kame Nchini Zinaathirika Na Uhaba Wa Vyakula Na Maji Kufuatia Kufeli Kwa Misimu Minne. Wakenya Wanaohitajia Msaada Wa Vyakula Wakifikia Milioni 4.35.

Buy Now on CodeCanyon