Kimanzi azungumzia matokeo duni ya Kenya Francis
2012-06-19 1 Dailymotion
http://www.ktnkenya.tv<br />Saa chache tu kabla ya kupigwa kalamu, Francis Kimanzi alizungumzia kutofuzu kwa Kenya katika dimba la bara afrika na kusalia ya mwisho katika kundi la sita la kombe la dunia.