SISI WATANZANIA TUMEAMUA••• #SisiNiTanzaniaMpyA+ ya Wazalendo, Waadilifu, Waaminifu, Wachapa Kazi! ——————————————— Mfanyabiashara na Mbunge Mstaafu (CCM) Bwn. Rostam Aziz amemsifu na kumpongeza Rais Magufuli kwa uongozi wake thabiti unaosababisha kufanikiwa kwa Nchi yetu kujenga mazingira sahihi yenye uadilifu, uaminifu katika utendaji pamoja na ujenzi wa uchumi imara, madhubuti kwa Watanzania wote 24:7 #MATAGA ����
